Saturday 23 November 2013

Wa-Africa Na Mitindo Mchanganyiko!!!!!

Mhhhh..Mengi sina..ni Wa-Afrika na Mitindo...mimi naaita Mitindo Tata..kumbuka kama wewe huwezi wengine wanajimwaga..Kitu Roho Inapenda......

Monday 2 September 2013

Mitindo Africa..Kitenge kinavyo fanya kazi na Wabunifu wa Afrika!!!

Waungwana;Kitenge,Kitenge,Kitengee..Kimechukua nafasi kubwa sana kwa sasa..ni msaaada mkubwa sana,unaweza tengeneza vitu viingi sana..si kubebea watoto,Kujitwishia mzigo,kujifunga, Tuuu..Endelea...








Unasemaje kuhusu kitenge?

Wednesday 21 August 2013

Mitindo Africa;Ubunifu wa Wa -Tanzazia!!!!




Waungwana Kwetu ni Kuzuri na kuna mambo Mazuri..
Pendeza Ki-Afrika.
Kama umependezwa na chochote usisite kuwasiliana nami;
Email,rasca@hotmail.co.uk
Mob;+44 750 44 100 40.

Karibuni Sana.

Saturday 3 August 2013

Wa-Tanzania na Mitindo ya Asili;Ushindi African Fashion!!!!!!


Mmmhhh Hakika inapendeza sana..
Haya Waungwana hawa si wengine ni "Ushindi African Fashion[UAF]"Ni wauzaji wa vitu vya Asili..Mavazi,Vikapu,Bangiri,Herin, Shanga za aina zooote mpaka za Kiuno....
Kampuni inayoendeshwa na da'Vick-Ruth..Pata kitu Roho inapenda!!!!