Saturday 5 January 2013

Wanawake wa ki-Africa na Mitindo Mchanganyiko!!!!!!












Wanawake Wa-Afrika na Mitindo......Sikuhizi kama unapenda kuvaa Mitindo ya ki-Afrika hukosi nguo za Ofisini/Kazini,Mtaani,Shughulini na kokote kule..Ni wewe tuu na kupinga upigilie/Utoke/Uvae NINI..........

Shukrani;http://www.weddingdigestnaija.com/

MITINDO AFRICA MOTOOOO!!!

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

HAPA PAZURI NIMEPAPENDA SANA..NILIKUWA SIJAJUA ...SASA NDO NAPIGA HODI....

Rachel Siwa said...

Karibu saaana Kadala..