Wednesday 24 July 2013

Mitindo Mchanganyiko;Summer imechanganya!!!!!!!





Gauni,za wazi zinavalika..



Unaweza ongezea na vikoti,viatu vya kuziba kidogo,Inategemea unaenda wapi..

 Mitaani Kijua kinawaka...
   Shanga zipo madukani Nga'mbo si mpaka uagize Afrika...







         Madukani mambo kama hivyo..pilikapilika za kutosha.....
    

Muungwana upo wapi na hali ya hewa ikoje?..

  kama una picha na mengine mengi yahusiyo Mitindo,Usisite kututumia kupitia Email;rasca@hotmail.co.uk.

Asanteni na Karibuni Wote.