Showing posts with label Mitindo Nga'mbo. Show all posts
Showing posts with label Mitindo Nga'mbo. Show all posts

Thursday, 9 March 2017

KUTOKA VOA SWAHILI: Zulia Jekundu S1 Ep 113: Ariana Grande, Remy Ma na Nicki Minaj,



Zulia Jekundu ni kipindi cha televisheni cha kila wiki kinachotayarishwa na kutangazwa na Mkamiti Kibayasi toka Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya America (VOA)
Kipindi hiki hukuletea habari mbalimbali za burudani zinazotamba. Humu utapata kujua juu ya habari za mastaa zinazogonga vichwa vya habari, kujua baadhi ya wanaosherehekea siku zao za kuzaliwa wiki husika na hata filamu 5 zilizoongoza kwa mauzo katika wiki hiyo
Juma hili, video mpya ya Ariana Grande, mzozo mkali kati ya Nicki Minaj na Remy Na unavyoendelea, matatizo ya iPhone 7plus, The Weekend alipokutana na Drake Ujerumani, Obamas ndani ya New York, kuelekea siku ya kimataifa ya wanawake duniani na kadhalika


Wednesday, 24 July 2013

Mitindo Mchanganyiko;Summer imechanganya!!!!!!!





Gauni,za wazi zinavalika..



Unaweza ongezea na vikoti,viatu vya kuziba kidogo,Inategemea unaenda wapi..

 Mitaani Kijua kinawaka...
   Shanga zipo madukani Nga'mbo si mpaka uagize Afrika...







         Madukani mambo kama hivyo..pilikapilika za kutosha.....
    

Muungwana upo wapi na hali ya hewa ikoje?..

  kama una picha na mengine mengi yahusiyo Mitindo,Usisite kututumia kupitia Email;rasca@hotmail.co.uk.

Asanteni na Karibuni Wote.

Monday, 29 April 2013

Mitindo Nga'mbo; Scarf Many Ways!!!!!

Waungwana; haya mambo hayo siyo lazima usuke au nywele ziwe na dawa.....
hata kilemba kikifunngwa vyema  unapendeza tuu zaidi ukijua kukitumia.

Pamoja sana.