Thursday 20 December 2012

Friday 30 November 2012

Wa-Africa na Mitindo;Dead Prez " The Beauty Within" (Official Video).mov!!!!!!

Jee hapo juu unafikiri ni nani anamtamani/anatamani urembo/Mitindo wa mwenzie?.....Ukijipenda Utapendwa...Pamoja!
!


Saturday 10 November 2012

Wa-Tanzania na Mitindo ni da'Subira Wahule wa S&W!!!!!!!!






Ni dada mdogo wa ki-Tanzania ni Mbunifu na Mshonaji mzuri..hizi ni Baadhi ya Kazi zake.....Kujua Meeengi kuhusu da'Subira ingia;http://subirawahure.blogspot.co.uk/

Sunday 4 November 2012

Wa-tanzania na Mitindo;Ilava!!!!!!!

















"Wa-Tanzania na Mitindo"  ni Wswahili hawa  Waishio Nje lakini hawasahau ya Kwao.ni Ilava............

Ilava: It Can Be Done


Shopping & retail
Chicago, Illinois 60653



+1 773-805-0704
 
 Pia unawezakuwapata Facebook.

Saturday 13 October 2012

Wa-Tanzania na Mitindo!!!

Mama Yoyoo-Masai
Muheshimiwa Mbunge;Namelo Sokoine
Blogger wa Maisha na Mafanikio[Yasinta]
                                         Yasinta na mkanda wa Taifa lake!!!!