Thursday 30 January 2014

Mitindo Africa,Leo Tupo Kigoma Tanzania na Fundi Khamiss!!!!





Waungwana,Mitindo Afrika Leo Tupo Kigoma kwa Fundi Khamiss,Yeye ni Mshonaji na Mbunifu,Hizo ni baadhi ya kazi zake.
Haya tumuunge mkono. Unaweza kuwasiliana naye kupitia:Email;Khamiss@gmail.com,Simu,+255 714481790.