Monday 29 April 2013

Mitindo Nga'mbo; Scarf Many Ways!!!!!

Waungwana; haya mambo hayo siyo lazima usuke au nywele ziwe na dawa.....
hata kilemba kikifunngwa vyema  unapendeza tuu zaidi ukijua kukitumia.

Pamoja sana.

Friday 19 April 2013

Mitindo ya Nga'mbo;Fashion Sense TV - All Episodes!!!



Haya  .Watu wa Mitindo... baridi hiyo inaaga kwa walio Nga'mbo..Uzito utapungua kwa MAKOTI!!
MITINDO ndiyo hiyo ushindwe wewe tuu......

Wanawake Wa Afrika na Mitindo [Mitindo Africa]!!!!














Mavazi kwa Wanawake...siku hizi popote unaendea.Kazini,Matembezi ya hapa na pale,Shughulini na........



Shukrani;Wedding Digest Nigeria

Friday 12 April 2013

Wa-Africa Na Mitindo..Kitenge kiko juu sana!;Kwetu Fashion na Missy Temeke na Wengine!!!

Waungwana,Wabunifu,Wadau wa Mitindo, Wake/Waume..Mambo hayo...
Mtu kwako ndiyo nimeanza na Kwetu Fashion Missy Temeke..

Nini kimekuvutia,Wapi Tuongezee?
 Maoni/Ushauri na Kuelimishana kwa Upendo!!!
                   
                        "Mitindo Africa"

Tuesday 2 April 2013

Wa-Africa/Waswahili Na Mitindo ; Mbunifu wetu Da'Mija[Mwanamke wa Shoka]!!!!

Mbunifu wa Wa Mavazi haya ni huyu..Da'Mija[Mwanamke wa ]Shoka
Anapatikana;
http://damija.blogspot.co.uk/
Maonyesho haya ya Nguo  na mambo mengine mengi yalifanyika kwenye Sherehe ya Wanawake ..COVENTRY WOMEN GALA..
Hapa Coventry,UK.
Kujua/kuona zaidi ingia;http://swahilinawaswahili.blogspot.co.uk/