Friday 12 April 2013

Wa-Africa Na Mitindo..Kitenge kiko juu sana!;Kwetu Fashion na Missy Temeke na Wengine!!!

Waungwana,Wabunifu,Wadau wa Mitindo, Wake/Waume..Mambo hayo...
Mtu kwako ndiyo nimeanza na Kwetu Fashion Missy Temeke..

Nini kimekuvutia,Wapi Tuongezee?
 Maoni/Ushauri na Kuelimishana kwa Upendo!!!
                   
                        "Mitindo Africa"

No comments: