Monday 8 October 2012

Waswahili/Africa na Mitindo!!!!

        dada wa ki-Tanzania na kivazi chake


  Dada wa ki-Tanzania na kivazi cha  Bazee
            Dada wa ki-Tanzania na kivazi cha KANGA akienda kwenye kitchen'Party

Wanawake wa ki-Tanzania na mavazi ya Madira, wakienda kwenye Mauridi/Arusini

 Raisi wa Kwanza wa Tanzania., Na kivazi chake

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

kachiki una mambo wewe...

Rachel Siwa said...

hahahaahaa..nimefanyaje tena dada KADALA?